Jump to content

Barua pepe kwa mshiriki 1

From Wikimania
This page is a translated version of the page 2022:Attendee email 1 and the translation is 91% complete.
Outdated translations are marked like this.


Kuanza kwa Wikimania 2022: Toleo la Tamasha ni masaa machache tu yajayo.

Tunawasubiri kwa hamu kuwaona.

Kuwa tayari kwa Ajenda za leo, zitaangazia:

  • Kuangazia Kanda:Leo tutakuwa tukiangazia Asia na Oceania katika programu yetu! Njoo uungane nasi ili kujifunza zaidi kuhusu miradi na mipango inayofanyika katika kanda hizi
  • Kipindi chetu cha ufunguzi, Timu ya Kuandaa ya Wikimania 2022
  • Wikibanquet kuwa na mlo wa pamoja na WanaWikimedia wenzetu
  • Kipindi cha mtembeze mbwa wako ili kutembea pamoja na kupumzika baada ya programu za siku husika

Usisahau kutembelea hema la kufahamiana ili kukutana na mtu mpya au kujiunga na mkutano wa papo kwa papo!

Tutaonana karibuni,
Timu ya andaaji ya Wikimania

Tafadhali rejelea barua pepe uliyotumiwa mwamnzoni ili kuingia kwenye jukwaa la tukio.