Jump to content

Barua pepe kwa mshiriki 2

From Wikimania
This page is a translated version of the page 2022:Attendee email 2 and the translation is 89% complete.
Outdated translations are marked like this.


Tunayo hamu kubwa kukuona kwenye siku ya 2 ya Wikimania 2022: Toleo la Tamasha!

Kaa tayari kwa Ajenda za leo, zitaangazia:

  • Viipindi kutoka kote Marekani! Tutakuwa na vipindi mbalimbali vya wasemaji kutoka Kanada, hadi Argentina, tukifafanua kazi wanayofanya katika eneo lao kiujumla.
  • Onyesho la kipekee, ambalo halijawahi kuoneshwa kutoka kwa bendi yetu ya Wikimania 2021 bendi ya mariachi na Iván Martínez wetu kutoka Wikimedia Mexico, ambao watatushirikisha baadhi ya muziki wao!
  • Meditação do Riso (Kutafakari kwa Kicheko) iliyoletwa kwetu na wenzetu kutoka Brazili

Tutaonana huko,
Timu ya andaaji ya Wikimania

Tafadhali rejelea barua pepe uliyotumiwa mwamnzoni ili kuingia kwenye jukwaa la tukio.