Barua pepe kwa mshiriki 3
Appearance
Outdated translations are marked like this.

Tuko tayari kukukaribisha kwenye Siku ya 3 ya Wikimania 2022: Toleo la Tamasha!
Programu ya leo itaangazia:
- Kuangazia kanda ya Afrika, Ulaya na Mashariki ya Kati!
- Safari ya Safari Game, baadhi ya ngoma za kikanda, na uwasilishaji wa mashairi ya video kutoka kwa jumuiya ya Falme za Kiarabu
- Tarajia vipindi vya moja kwa moja kutoka kwa baadhi ya matukio ya ndani, ya ana kwa ana ya Wikimania kutoka eneo hili, unaweza kutembelea na kusema habari!
Tukutane kwenye sherehe na kwenye hema la kufahamiana!
Wenu,
Timu ya andaaji ya Wikimania
Tafadhali rejelea barua pepe uliyotumiwa mwamnzoni ili kuingia kwenye jukwaa la tukio.