Jump to content

Barua pepe kwa mshiriki 4

From Wikimania
This page is a translated version of the page 2022:Attendee email 4 and the translation is 88% complete.
Outdated translations are marked like this.


Mwisho lakini sio kwa umuhimu, leo ni Siku ya Kiulimwengu! Leo ni inayoonekana kuwa na tani za furaha na msisimko kufunga Tamasha kuu.

  • Chukua maikrofoni yako na uimbe pamoja na karaoke, cheza na ma DJ kutoka kote ulimwenguni
  • Jiunge na Mwanawikimedia wa Mwaka kusherehekea wanajamii kutoka kote katika harakati hizi
  • Pia tutakuwa tukitangaza mahali ambapo Wikimania 2023 itafanyikia - ndivyo ilivyo, Wikimania ya ana kwa ana kwa mara ya kwanza tangu 2019!

Tutaonana huko!
Timu andaaji ya Wikimania

Tafadhali rejelea barua pepe uliyotumiwa mwamnzoni ili kuingia kwenye jukwaa la tukio.