Jump to content

2022:Survey reminder/sw

From Wikimania
This page is a translated version of the page 2022:Survey reminder and the translation is 100% complete.

Habarini nyote,

Shukrani kwa kila mmoja ambaye amejaza utafiti wa Wikimania 2022! Kama bado hujakamilisha utafiti huu, bado muda upo. Utafiti huu utachukua takribani dakika 15 hadi 20.

Utafiti huu unapatikana kwa English | Bahasa Indonesia | Türkçe | español | français | português | русский | українська | العربية | हिन्दी | 中文 | 日本語. Kubadilisha lugha nenda kwenye kona ya juu katika Limesurvey.

Unaweza pia kuangalia sera ya faragha ya utafiti huu.

Kama ungependa kutoa maoni lakini hutaki kushiriki kwenye huu utafiti, unaweza kutuma barua pepe kwenda kwa movementcomms@wikimedia.org.

Kwa mara nyingine tena, asante na tunatazamia kukuona kwenye Wikimania 2023!

Wenu,

Timu kuu andaaji ya 2022