Translations:2026:Scholarships/147/sw
Appearance
- Rekodi ya kikao cha maelekezo kwa Kiarabu. Kiliongozwa na Reda Kerbouche.
- Rekodi ya kikao cha maelekezo kwa Kiingereza. Kiiliongozwa na Patricia Díaz Rubio.
- Rekodi ya kikao cha maelekezo kwa Kiingereza. Kiliiongozwa na Gisca Syalindri.
- Wasilisho lililotumiwa wakati wa kikao kwa Kihispania.
- Kwa sababu ya matatizo ya kiufundi, ni sauti pekee ya wakati wa kikao kwa Kihispania ndio inayopatikana.