2023:Matukio ya setilaiti

From Wikimania
This page is a translated version of the page 2023:Satellite events and the translation is 38% complete.
Outdated translations are marked like this.Matukio ya satelaiti yanafanyika kwa pamoja Wikimania 2023. Kutakuwa na maudhui yaliyorekodiwa kabla, rekodi za vikao, na mitiririko ya moja kwa moja inayopatikana kwa ajili ya matukio.

Inaweza kuwa imepangwa kwa;

  • kulingana na ratiba ya moja kwa moja ya Wikimania,
  • kuungana kwa pamoja na kuangalia,
  • kwa wakati unaofaa kama kutazama kwa pamoja.
Pia tunahimiza jumuiya kufanya majaribio na wahudhuriaji binafsi kutoa ripoti kwa kikundi cha kuangalia ili kushiriki uzoefu. Watu wa kujitolea wanaweza kupatikana kusaidia katika utengenezaji wa wito huo.

Ili kujua jinsi ya kupata usaidizi wa kifedha kwa tukio lako lililopangwa la setilaiti, nenda kwenye ukurasa huu.

Livestream party

Watch party

Picnic

The Great North American Wiknic will be held on various August weekends before and after Wikimania, "the picnic anyone can edit" enjoyed at various localities across the continent.

Editathon

  • Wikimania 2023 Tokyo GLAM Editathon @Tokyo National Museum
City, location: Tokyo, Tokyo National Museum
Organizer: Museum Wikipedia Editathon Organising Committee
Format: In-person editathon
Date and time: 17 August, 2023
Event page, registration link: Japanese Wikipedia event page