2023:Waratibu

From Wikimania
Jump to navigation Jump to search
This page is a translated version of the page 2023:Organizers and the translation is 46% complete.
Outdated translations are marked like this.


16–19 August 2023, Singapore and Online
Diversity. Collaboration. Future.

The Wikimedia East, Southeast Asia and the Pacific Regional Cooperation (ESEAP) is a regional collaborative composed of nationalities & Wikimedia affiliates of Indonesia, Taiwan, Australia, Korea, Thailand, Philippines, Malaysia, Myanmar, New Zealand, Hong Kong, and Vietnam. Membership also includes nationalities and informal communities of Brunei, Cambodia, China, Japan, Laos, Macau, Mongolia, Papua New Guinea, Singapore, Timor Leste and Pacific island nations FS Micronesia, Fiji, Kiribati, Marshall Islands, Nauru, Palau, Samoa, Solomon Islands, Tonga, Tuvalu, and Vanuatu.

Timu ya Muhimu ya Uratibu

Timu ya kuratibu Wikimania ya mwaka 2023 (COT) imetolewa kimsingi kutoka East, Southeast Asia and the Pacific Regional Cooperation (ESEAP).


  • Butch Bustria - Mwanakamati wa Uongozi, Mratibu wa ESEAP, 2020 COT, iliyoko Singapore
  • User:Gnangarra - Mwanakamati wa Uongozi, Mratibu wa ESEAP, 2020 COT, 2021 COT, iliyoko Perth, Australia Magharibi
  • Venus Lui - kutoka timu ya uratibu (COT) ya 2022, iliyokuzwa Hong Kong, ambayo sasa ina makao yake Berlin, Ujerumani
  • Athikhun Suwannakhan - kutoka timu ya uratibu asili (COT) ya 2020, yenye makao yake kutoka Bangkok, Thailand
  • Robert Sim User:Robertsky - Mtaalamu wa Wikimedia wa Singapore, ambaye ana ujuzi wa mahitaji ya kiufundi ya Sauti katika mkutano wa mseto na wa mtandaoni.
  • Nur Fahmia User:Kunirasem - Mwanawikimedia wa Java na Indonesia, mwandalizi wa WikiNusantara 2019, anayeishi Yogyakarta, Indonesia
  • User:Lady01v - Ufilipino, mawasiliano ya timu ya uratibu (COT) mnamo 2021
  • Uratibu wa hafla ya Wikisource nchini Indonesia
  • User:Ameisenigel - Mtafsiri mkuu kwenye miradi mingi, mchangiaji mtaalamu wa wikimania.wikimedia.org

Mengineyo

  • Andrew Lih (User:Fuzheado) - Uhusiano wa kamati ya uendeshaji wa Wikimania kwa timu ya uratibu (COT)
  • Wikimedia Foundation Movement Communications
    • Lisa McCabe
    • Mehrdad Pourzaki
    • Elena Lappen
    • Rachit Sharma

Kamati ndogo ndogo