2023: Faharasa

From Wikimania
This page is a translated version of the page 2023:Glossary and the translation is 5% complete.
Outdated translations are marked like this.


Ukurasa huu ni orodha ya maneno ya kawaida yanayotumika katika mkutano wa Wikimania mwaka 2023 ili kuhakikisha uwazi kuhusu kile kinachojadiliwa, ikiwa una ombi lolote la ufafanuzi tafadhali mjulishe mwanachama wa COT. Orodha hii inaendelea kuongezeka na itashughulikia dhana zinapoendelezwa;

  • COT - Timu ya Waratibu. Timu ya wanajamii iliyokusanyika ili kufanya Wikimania kufanyika kwa mwaka fulani
  • SC - Kamati ya Uongozi. Kamati ya kudumu ya wajitolea wa Wikimedia wanaofanya kazi na Wakfu wa Wikimedia kuelekeza upangaji wa mkutano wa Wikimania, pamoja na uteuzi wa COT na eneo la Wikimania.
  • Mseto - tukio zima ambapo shughuli za mtandaoni na za binafsi hufanyika
  • Ana kwa ana - shughuli nchini Singapore zinazohusiana na Wikimania
  • Mtandaoni - miunganisho ya kidijitali
    • Jukwaa la mkutano - tovuti/teknolojia ya mtandaoni inayounganisha mkutano wa Wikimania nchini Singapore na ulimwenguni
  • Matukio ya setilaiti - mikutano na tafrija za kutazama zinazofanyika wakati wa Wikimania katika miji mingine
    • Usaidizi wa satelaiti - ufadhili wa hafla za satelaiti
  • Udhamini - tuzo ya pesa kwa ufadhili wa kusafiri ili kuhudhuria Wikimania nchini Singapore ana kwa ana
    • Udhamini kamili - usafiri, malazi na usajili
    • Sehemu ya udhamini - tuzo ya fedha ya kusaidia katika kulipa usafiri, malazi na gharama za usajili
  • Usaidizi wa mtandaoni - usaidizi wa ufadhili wa kulipia gharama zinazohusiana na kuhudhuria kwa mbali, kama vile gharama za bando la kuperuzi, baadhi ya vifaa vya kompyuta, malezi ya watoto, n.k.
  • Expo Village - mahali pa kuonyesha, kuonyesha miradi ya WMF kama vile Wikidata, Wikimedia Commons, Wiki Loves xxxxxx
  • UCoC – refers to the Wikimedia Movement's Universal Code of Conduct. It defines a minimum set of guidelines of expected and unacceptable behaviour and applies to everyone who interacts and contributes to online and offline Wikimedia projects and spaces.
  • U4CBC - refers to the Universal Code of Conduct Coordinating Committee (U4C) Building Committee
  • Trust and Safety or T&S – refers to a Wikimedia Foundation department that identifies, builds and – as appropriate – supports processes which keep our communities safe. They are the main enforcement team that implements the Universal Code of Conduct. To know more, visit this site.
  • Digital Safety – is a dedicated space where a person can seek guidance, support, and resources related to online safety and security. It is staffed by professionals knowledgeable in the field of digital rights, online privacy, cybersecurity, and related areas including a mix of Foundation staff and trusted partners.
  • MS – refers to the Wikimedia Movement Strategy
  • MCDC – refers to the Movement Charter Drafting Committee
  • BoT – refers to the Wikimedia Foundation Board of Trustees
  • AffCom – refers to the Wikimedia Affiliations Committee, a committee responsible for Wikimedia affiliates
  • RFC – refers to the Regional Funding Committee
  • Hackathon – a portmanteau of "hacking" and "marathon", is an event where people engage in rapid and collaborative engineering over a relatively short period of time.
  • Editathon – portmanteau of "edit" and "marathon", is an event where some editors of online communities such as Wikipedia, Wikivoyage edit and improve a specific topic or type of content. The events typically include basic editing training for new editors.
  • Mapathon – portmanteau of "map" and "marathon", is an event where some editors of online communities such as Wikidata and OpenStreetMap edit and improve mapping or cartography related content.
  • Datathon – portmanteau of "data" and "marathon", is an event where some editors of Wikidata edit and improve statements, lexemes and many others.
  • Photowalk – is a communal activity of photographers or camera enthusiasts who gather in a group to walk around with a camera for the main purpose of taking pictures of things that interest them.
  • World Cafe – is a structured conversational process for knowledge sharing in which groups of people discuss a topic at several small tables like those in a café. The assumption is that collective discussion can encourage collective action.
  • Mpango - shughuli zote zinazofanyika.
  • Wakati
    • UTC - muda sanifu wa kutumika kwa shughuli za mtandaoni
    • SGT - Wakati wa Singapore wa kutumika kwa shughuli za ana kwa ana, (SGT ni UTC +8)
    • AoE - Popote Duniani, muda wa kawaida wa kufunga wa mawasilisho yote, maombi
  • ICA – Singapore's Immigration and Checkpoints Authority
  • HSA – Singapore's Health Sciences Authority
  • MRT – Mass Rapid Transit, refers to Singapore's public rail system
  • Watch party – where Wikimedians gather to watch recorded or live sessions of Wikimania.
  • WMF – refers to the Wikimedia Foundation.