2023:Wikimania
16–19 August 2023, Singapore and Online
Wikimania ni mkutano wa kila mwaka wa kusherehekea miradi yote inayotoa maarifa bila malipo unaoandaliwa na Wikimedia Foundation – Wikimedia Commons,
MediaWiki,
Meta-Wiki,
Wikibooks,
Wikidata,
Wikinews,
Wikipedia,
Wikiquote,
Wikisource,
Wikispecies,
Wikiversity,
Wikivoyage,
Wiktionary Mamia ya washiriki wa Miradi ya Wikimedia wanakusanyika ili kubadilishana mawazo, kujenga mahusiano, na kutoa taarifa za tafiti na juhudi mbalimbali za miradi hiyo.
Mkutano huu wa 18 utashirikisha watu wanaojitolea, Vikundi vya Wikimedia kutoka Mashariki, Asia ya Kusini-mashariki na Pasifiki (ESEAP)]].
Wikimania 2023 itaanza tarehe 16-19 Agosti nchini Singapore.
There are 10 weeks, 1 day, 18 hours, 36 minutes and 26 seconds until Wikimania 2023. (refresh)