Jump to content

2023:Maswali kuhusu ufadhili

From Wikimania
This page is a translated version of the page 2023:Scholarship Questions and the translation is 97% complete.



Haya ni maombi kwa mpangilio wa maswali tafadhali usijibu maswali haya hapa ili kuyajibu bofya kitufe kilicho hapa chini

Maelekezo ya ukurasa huu;

  • vichwa vya habari ni seti za maswali
  • Sentensi kooze ni Swali
  • isiyo kooze inaonyesha hili ni jibu

Ilani: Tutajitahidi kuongeza tafsiri kwenye fomu ya maombi ikiwa lugha inapatikana, hilo likifanywa tutasasisha msimbo wa lugha kwenye kitufe cha tafsiri tafadhali tumia kiungo cha en kama chaguomsingi.


Shirika la Wikimedia litakuwa likitoa sehemu ya ufadhili na ufadhili kamili kuhudhuria Wikimania 2023. Kuhusu nini kitafadhiliwa chini ya ufadhili usio kamili na kitakachofadhiliwa kwa ufadhili kamili kimeainishwa katika sehemu inayofuata. Unaweza kutuma maombi ya kufadhiliwa hadi mwisho wa siku Jumapili, 5 Februari popote duniani.

Zaidi ya hayo, mashirika ya harakati za Wikimedia (Chapta, Mashirkia ya Mandhari na vikundi vya watumiaji) yanaweza kutoa ufadhili wao wa kuhudhuria Wikimania. Wakati ombi hili ni la ufadhili wa kuhudhuria mkutano kutoka Shirika la Wikimedia, mashirika ya harakati yanaweza kuomba kupatiwa maombi yaliyowasilishwa humu ambayo yanahusiana na nchi au jumuiya zao, kwa madhumuni ya kuchagua na kutunuku ufadhili wao wenyewe, wa kujitegemea.

Tafadhali ruhusu dakika 45-60 kukamilisha ombi hili.

Kuna maswali 20 katika utafiti huu.

Mbele

Sehemu hii inahusiana na aina za ufadhili ambazo ungependa kuzifikiria

Ninakubali kwamba ufadhili kamili utadhamini yafuatayo:

  • Usafiri wa Ndege

Malazi

  • Usajili
  • Milo katika hafla hiyo
  • Bima ndogo ya matibabu
  • Gharama za Visa mtandaoni

Nikipewa sehemu ya udhamini utagharamia:

  • Malazi
  • Usajili
  • Milo katika hafla hiyo
  • Bima ndogo ya matibabu
  • Gharama za Visa mtandaoni

Gharama zingine zote ikijumuisha bima ya safari za ndege, na vitu vinginevyo itakuwa ni jukumu langu.

Tafadhali chagua kimoja kati ya vifuatavyo:

Tambua


Ufadhili kamili wa kuhudhuria mkutano utagharamia usafiri, usajili na baadhi ya gharama zisizotarajiwa. Ufadhili usio kamili utatoa malazi na usajili pekee. Tafadhali onyesha aina gani ya udhamini wa Wikimedia Foundation unaomba.

Zingatia kwamba:

wale wanaochagua "Ninatuma ombi la ufadhili kamili, lakini wataweza kuhudhuria ikiwa watapewa udhamini wa sehemu" watazingatiwa kulingana na vigezo sawa vya uteuzi. Ufadhili unaweza kutolewa kwa waombaji walio na historia fupi ya ushiriki wa jamii.

Tafadhali chagua kimoja kati ya vifuatavyo:

Ufadhili kamili
Ninaomba ufadhili kamili, lakini nitaweza kuhudhuria ikiwa nitapewa udhamini pungufu
Udhamini pungufu (malazi, usajili)

Tafadhali onyesha kama ungependa taarifa zako zishirishwe kwa mashirika mengine, huru ya harakati za Wikimedia au washirika iwapo wanatoa ufadhili wa kuhudhuria mkutano ambao unastahili.

Tafadhali chagua kimoja kati ya vifuatavyo:

Ndiyo, Shirikisha maombi yangu
Hapana, usishirikishe maombi yangu
Je, una mpango wa kutuma maombi kwa shirika lolote karibu yako au shirika/mashirika mengine ya harakati kwa ufadhili wa ufadhili wa kuhudhuria mkutano wa Wikimania 2023? *
Tafadhali chagua na utoe maoni yako:
Ndiyo, nina mpango wa kuomba
Hapana
Pengine, kama ufadhili huo upo
Lingine

Taarifa za usafiri na mawasiliano

Katika sehemu hii, tafadhali toa maelezo ya mawasiliano na maelezo ya usafiri.

Usipe nambari za pasipoti; zitaombwa tu ikiwa wewe ni mpokeaji uliyefaulu.

Tafadhali kumbuka: Singapore inahitaji kwamba watu kutoka baadhi ya nchi (pamoja na kama umezipitia) barani Afrika na Amerika ya Kusini wamepata chanjo ya Homa ya Manjano kwa angalau siku 10 kabla ya kuondoka, ona: [Cheti cha chanjo ya homa ya manjano $ 1]

Tafadhali toa maelezo ya msingi ya mawasiliano.

'Una hati ya kusafiria?

Tafadhali chagua moja tu kati ya yafuatayo:

Ndiyo, halali hadi baada ya Machi 2024
Ndiyo, itatumika hadi kabla ya Machi 2024, itahitaji kusasishwa
Muda wake umeisha, unahitaji kusasisha
Hapana, unaweza kutuma ombi kufikia Aprili 2023

Singapore inahitaji pasipoti ya kila mtu kuwa halali kwa angalau miezi 6 baada ya kuwasili.

Unawajibu wa kuomba au kufanya upya pasipoti yako. Kuchelewa kupata pasipoti kunaweza kusababisha ofa yoyote kuondolewa.

Unaishi nchi gani?

Tafadhali chagua moja tu kati ya yafuatayo:

orodha ndefu ya chaguzi

Tafadhali taja uwanja wa ndege wa kimataifa unaopendelea kuondoka na kurudi. Unaweza kupunguza kiwango chako cha kaboni kwa kuchagua kusafiri kupitia treni, au feri hadi uwanja wa ndege mwingine ambapo safari za ndege za moja kwa moja zinawezekana (si lazima).

Tafadhali chagua yote yanayotumika na utoe maoni:

kuondoka uwanja wa ndege wa karibu
uwanja wa ndege wa kupunguza kaboni
kurudi uwanja wa ndege wa karibu
kurudi kwenye uwanja wa ndege uliopunguzwa kaboni
nyingine

Timu ya Wikimania inajua kwamba alama yetu ya kaboni kimsingi inaundwa na safari za ndege, tungependa kupunguza hilo. Njia moja ni safari za ndege za moja kwa moja kwani kuna kaboni kubwa inayozalishwa wakati wa kila safari.

Bainisha uwanja wa ndege ambao ungependelea kuondoka. Kwa mfano, unaweza kupendelea kuondoka Johannesburg kwa kuwa ina safari za ndege za moja kwa moja hadi Singapore.

jibu

'Ni nchi gani imetoa pasipoti yako?

Tafadhali chagua moja tu kati ya yafuatayo:

orodha ndefu ya chaguzi

Demografia ya Kitakwimu

Sehemu hii itakuuliza maswali ya idadi ya watu. Tafadhali kumbuka kuwa maswali yote ni hiari kujibu na unaweza kuyaruka ikiwa unataka.

Maswali haya hayana athari kwenye mchakato wa uteuzi, na majibu hayatatolewa kwa timu ya ukaguzi. Tunaomba maelezo haya kwa madhumuni ya takwimu, ili tuweze kuelewa ikiwa aina mbalimbali za maombi zinaonyeshwa katika tuzo za ufadhili.

We appreciate your support by answering these questions.


'Je, una umri gani?

Tafadhali chagua moja tu kati ya yafuatayo:

chini ya 18
18 hadi 24
25 hadi 34
35 hadi 44
45 hadi 54
55 hadi 64
65+
Napendelea kutosema

Ni aina gani kati ya hizi zinazoelezea utambulisho wako wa kijinsia?

Tafadhali chagua yote yanayotumika:

Mwanamke
Mwanaume
.
.
Utambulisho ambao haujaorodheshwa hapa
Napendelea kutosema

Mazoea ya mtumiaji;

Tafadhali toa majina yako ya sasa ya watumiaji, pamoja na majina yoyote ya upili ambayo unaweza kutumia kwenye mitandao isiyo salama sana wakati wa shughuli za mawasiliano.

 *

Data hii ni ya kuelewa kiwango ambacho watumiaji wengine wamechukua kwa sababu za usalama kwa kutumia akaunti ya pili, au kuacha akaunti.

Data haitahifadhiwa au kushirikiwa.

'Unaita mradi gani nyumbani?

Tafadhali chagua moja tu kati ya yafuatayo:

Meta-Wiki
Wikimedia Commons
Wikispecies
Wikibooks
Wikidata
Wikimania
Wikinews
Wikipedia
Wikiquote
Wikisource
Wikiversity
Wikivoyage
Wiktionary
Nyingine 

'Je, kuna mradi mwingine unaweza pia kuuita nyumbani?

Tafadhali chagua moja tu kati ya yafuatayo:

Meta-Wiki
Wikimedia Commons
Wikispecies
Wikibooks
Wikidata
Wikimania
Wikinews
Wikipedia
Wikiquote
Wikisource
Wikiversity
Wikivoyage
Wiktionary
Nyingine 

Umehudhuria Wikimani ngapi? Jumuisha 2021 na 2022 katika hesabu yako.

Tafadhali chagua yote yanayotumika:

hakuna
mtandaoni mnamo 2021
mtandaoni mnamo 2022
1 hadi 2
3 hadi 6
7 hadi 10
11 hadi 16

zote 17 Tafadhali chagua zote zinazotumika.

Ikiwa ulihudhuria mtandaoni mnamo 2021 au 2022 tafadhali hesabu ikiwa ulihudhuria kipindi kilichotiririshwa moja kwa moja.

Kwa mfano, ikiwa ulihudhuria mtandaoni mwaka wa 2022 na binafsi mnamo 2017 na 2018, chagua "mtandaoni 2022" na "3 hadi 6".

Swali la tathmini

Maswali yafuatayo ni maswali ya msingi ambayo maombi yako yatatathminiwa.


Sio juu ya kuandika hadithi nzuri - baadhi ya Wikimedian ni bora kuliko wengine. Ni kuhusu viungo unavyotoa ili kuthibitisha ombi lako. Iwe ni dashibodi, ripoti, historia za uhariri, midia au vyanzo vingine, haya yatakuwa muhimu.


Kipengele kingine kitakuwa nia yako ya kuunga mkono meza za Wikimania Expo, na zipi. Jedwali za maonyesho zitakuwa katika eneo kuu la ukumbi na wazi kwa kila mtu pamoja na umma. Kinachohitajika ni wapokeaji kuwa kwenye meza hizi kwa muda uliowekwa wa saa 2 kila moja. Kushiriki katika zamu ya saa 2 kutakuwa badala ya ripoti zilizoandikwa baada ya tukio, ingawa maarifa yoyote pia yatakaribishwa.

The Core Organizing Team (COT) regards your practical involvement in Wikimania as the most valuable part of attending. Instead of writing reports after the event, we are looking for you to participate during the event in our Expo space.

Je! ni majedwali gani ya Maonyesho unaweza kuunga mkono? Tafadhali jumuisha lugha unayopendelea kwenye maoni. Utatengewa muda wa saa 2 kabla ili uweze kutangaza utakapokuwa hapo.

Ingawa washirika ni sehemu muhimu sana ya harakati, washirika wengi hawana rasilimali au wanapata kidogo sana kutokana na kuwa na nafasi za kibinafsi; COT imeunda jedwali la washirika ambalo litagawanywa katika nafasi za saa zinazopatikana kwa washirika kushirikisha uzoefu wao.

Please choose all that apply and provide a comment:

Meta-Wiki
Wikimedia Commons
Outreach
Wikispecies
Wikibooks
Wikidata
Wikinews
Wikipedia
Wikiquote
Wikisource
Wikiversity
Wikivoyage
Wiktionary
Meza ya washiriki
Wiki Loves na mashindano mengine
Kamati za Jumuiya – Kamati ya Uongozi, Kamati ya Lugha, Mkakati
Teknolojia na zana
Nyingine:

'Iwapo mtu angekujia na kukuuliza, "Wikimedia ni nini?" ungejibu nini?

Tafadhali andika jibu lako hapa:

Tuambie kuhusu kuhusika kwako hivi majuzi katika wiki yako ya nyumbani au harakati pana za Wikimedia. Je, umejenga au kuchangia nini ili kuboresha wiki au jumuiya yako? Je, umeongoza au kupanga mojawapo ya shughuli hizi? Ni shughuli gani iliyo muhimu zaidi kwako binafsi, bila kujali matokeo? Tafadhali onyesha ni shughuli gani kati ya hizi ilifanyika katika kipindi cha miezi 12 iliyopita.

Ongeza viungo vya shughuli, dashibodi na kuripoti. *

Tafadhali andika jibu lako hapa:

The ESEAP community chose the theme of Diversity, Collaboration, Future for Wikimania 2023. What does this mean to you? What do you think about when presented with this theme, and how will it impact your attendance at Wikimania?

Tafadhali andika jibu lako hapa:

Je, huwa unashiriki vipi uzoefu wako (au mambo ambayo umejifunza) na jumuiya yako? Mifano ya muhtasari wa Wiki, ripoti, machapisho kwenye blogu, mazungumzo ya kukutana n.k. inakaribishwa hapa. Tafadhali jumuisha viungo vya mifano.

Tafadhali andika jibu lako hapa:

MAOMBI YAKO YAMEMALIZIKA


Jibu la barua pepe linapokamilika

Mpendwa mwombaji,


Asante kwa kuchukua muda wa kutuma maombi ya ufadhili wa masomo kwa Wikimania 2023, ambayo itaandaliwa nchini Singapore kuanzia tarehe 15-19 Agosti 2023.


Kamati ya Wikimania itakuwa ikikagua maombi yote kulingana na mwongozo wa kustahiki na vigezo vilivyowekwa katika mchakato wa kutuma maombi.


Utaratibu huu utafanyika mara tu tarehe ya mwisho ya kutuma maombi itapita. Baada ya hapo waombaji wote watajulishwa kuhusu matokeo ya maombi yao ya udhamini mwezi Mei.


Kwa wale ambao wamefaulu, basi tutawasiliana zaidi kuhusu kuweka nafasi ya malazi na kusafiri kwako.


Ikiwa una maswali yoyote kwa sasa, tafadhali rejelea ukurasa wa Scholarships kwenye Wikimania Wiki au wasiliana nasi kwa wikimania-scholarships@wikimedia.org



Kila la heri,


Kamati ya Ufadhili ya Wikimania.